SOWAH NA KANTE WAFUNGIWA MECHI TAN0

Jonathan Sowah na Allasane Kante wamefungiwa mechi tano na faini ya Tsh milioni moja kila mmoja kwa makosa waliyoyafanya kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC.

Allasane Kante alimpiga teke Feisal Salum huku Jonathan Sowah akiadhibiwa kwa kosa la kumpiga kiwiko Himid Mao.

Scroll to Top